Saturday, March 26, 2011

Waraka kutoka kwa katibu wa Umoja William Mwandambo

Ndugu WaTanzania wote,
Mfuko wa jumuiya ya WaTanzania umezinduliwa rasmi siku ya Jumamosi tarehe 19 March 2011 ukiwa na wanamfuko 47 kwa sasa. Siku hiyo wanamfuko walichagua viongozi nane (8) kwa mujibu wa kanuni za mfuko.
Viongozi ni kama ifyatavyo.
Mwenyeketi     Michael Mngodo
Katibu             William Mwandambo
Mweka Hazina   Vera Teri
Kamati ya Harambee ni Nasra Mrumah, Said Senkondo, Grace Manga, Dorothy Njau, Faiz Mwilima.
Lengo la mfuko huu ni kuweza kutusaidia na kujumuika pamoja pale panapo tokea matatizo ya msiba, Magonjwa sugu na n.k.
Bado tunakaribisha wanamfuko wapya wenye nia ya kujiunga na mfuko na kushirikiana. Ada ya mwaka ni $40 na ada ya uandikishwaji ni $10, ada hizi zinatakiwa zilipwe kwa wakati mmoja. Kwa mujibu wa kutaka kuwa mwanamfuko angalia attachment ambayo ime ambatanishwa na email hii. Attachment hizi zina kanuni za mfuko.

Ukitaka kujiandikisha kuwa mwanamfuko wasiliana na wafuatao.

Dorothy Njau           614-589-5685
Nasra Mrumah          614-598 - 5486
William Mwandambo  614-537-1448

Maoni yanakaribishwa.
Asanteni
Uongozi wa Mfuko.

No comments:

Post a Comment