Thursday, March 31, 2011

KUJIANDIKISHA UANACHAMA

Ndugu WaTanzania wote,
Tuna wataarifu kwamba siku ya Jumamosi tarehe 2 March 2011 tutakuwepo TASTE OF ZANZIBAR kuandikisha watu wanao taka kujiunga na mfuko.
Adress ni 3322 Morse Road
Columbus, OH 43231-6136
Saa: From 4:00 PM - 8:00 PM
Tuna fahamu kwamba wajumbe wengi mmekuwa mkitafuta namna ya kujiunga kwahiyo siku hii inatupa fursa ya kuweza kujiandikisha.
Ada ya mwaka ni $40 na ada ya uandikishwaji ni $10, ada hizi zinatakiwa zilipwe kwa wakati mmoja.
Pia kwa wale ambao hamta weza kufika mnaweza kuwasiliana na wafuatao.

Dorothy Njau 614-589-5685
Nasra Mrumah 614-598-5486
William Mwandambo 614-537-1448

Maoni yanakaribishwa.
Asanteni
Uongozi wa Mfuko.

No comments:

Post a Comment