Tuesday, January 18, 2011

Misa ya kumuombea marehemu.Taarifa kamili kutoka kwa wanafamilia.

Ndugu Watanzania ninatoa taarifa ya misa ya mzee wetu marehemu Jaji Mapigano ambayo itafanyika siku ya Jumamosi tarehe 01/22/2011. MISA ITAANZA SAA 5:00 PM
ADDRESS: 3800 TALIESIN PLACE
COLUMBUS OH 43219



Ahsanteni kwa ushirikiano wenu.

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA NDUGU WAFUATAO:
MKAMA MAPIGANO :         614-805-6231
DAN  MAPIGANO :             614-354-7240
JACQUELINE MJENGWA :  614-804-5237
BIDAN   MCHAO :               614-670-2312
DANNY  NYAMBIBO :          614- 895-1954
WILLY    MWANDAMBO:     614-537-1448

Monday, December 20, 2010

Matokeo ya Mkutano wetu wa tarehe 18 desemba.

Kwa wale waliokosa kuwepo kwenye mkutano ninawajulisha tu mambo machache na ya muhimu katika mkutano mzima.
    1.Bado tunahaja ya kuandika katiba ambayo kila mwanajumuiya ataifurahia na kuiamini na kuiheshimu.

    2.Bado maelewano yanaendelea kuhusu bei ya kujiunga kama mwanachama.

    3.Mapendekezo ya uchaguzi wa viongozi na mgawanyo wa majukumu.

    4.Bado kuna majadiliano makali kuhusu mfuko na jinsi ya kuukuza uwe mkubwa.Wengine wamependekeza kuinvest kwenye majengo na mikopo.
    
     5.Malalamiko yalikuwepo kwamba mwamko wa masuala ya jumuiya kutoka kwa watu bado ni mdogo mno.

     6.Mkutano mwingine unapangwa kufanyika mwezi mmoja baada ya mkutano wa dec 18.