Ndugu Wanajumuiya-
Leo tarehe 05/01/2011 tumepokea taarifa za kusikitisha za msiba wa kaka wa Regina Hingi.Regina Hingi ni mke wa Simon Hingi .Familia yake walikuwa wanaishi Columbus,Ohio na baadae wakahamia Oregon kikazi miaka mitano iliyopita.Msiba huo umetokea jana huko Tanzania,marehemu ana umri wa miaka 28 alikanyagwa na gari.Kwa yeyote anaependa kuwasiliana nao kuwapa pole namba yao ni cell 971-340-8974.Tuwaombee faraja na nguvu katika kipindi hiki kigumu sana kwa familia yao.Mungu amlaze marehemu mahala pema peponi.Tukipataarifa zaidi tutawajulisha.
No comments:
Post a Comment