Monday, May 2, 2011

Musenge Matia kutoka Zambia amefariki Dunia (1981-2011).

Jamani tumepokea taarifa za kusikitisha tena leo mchana Jirani yetu na Mwenzetu kutoka Zambia Musenge Matia amefariki Dunia.Musenge ni dada wa Kasongo Karata na Victoria Nakubyana.Musenge amefariki ghafla leo asubuhi kwa ugonjwa wa Pneumonia uliokuwa ukimsumbua kwa muda mrefu.Kwa habari zaidi na kuwapa pole familia.Hapo chini ndio picha ya marehemu na alikuwa anaishi Pennsylvania,mipango ya mazishi kumrudisha kwao Zambia kwa mazishi inafanywa.Mungu amlaze mahali pema peponi.Amen.

Monica 614-805-4725 (cell)
Victoria 614-843-5144 (Ce

ll)

No comments:

Post a Comment