Update za Msiba wa Mzee Lyatuu.
Wafiwa wanatarijiwa kusafiri kwenda nyumbani kwa mazishi kati ya siku ya Jumanne au Jumatano. Na wanaotarajiwa kusafiri ni Harry, Imma, Hilda, Isaac na watoto watatu. Kama mnavyofahamu gharama za usafiri kwenda nyumbani ni za juu, kwa hiyo familia ya Lyatuu inahitaji msaada wenu wa dhati. Makadirio ya gharama za usafiri ni $7,000. Mchango wenu wa hali na mali unahitajika kukamilisha safari hii.
Kwa wale wasioweza kufika, unaweza kuweka mchango wako kwenye account ifuatayo:
Harigod Lyatuu
Chase Bank
Routing: 044000037
Account: 804008191
Kwa niaba ya familia ya Lyatuu, tunatanguliza shukrani za dhati. Kama kuna maswali yoyote, wasiliana na wafuatao:
Bidan Mchao - 614-670-2312
Peter Kirigiti - 614-668-8096
Eliud Mashamba - 614-707-9353
Godfrey Moshy - 614-592-9931
Aileen Lyimo - 614-374-8237