Thursday, March 31, 2011
KUJIANDIKISHA UANACHAMA
Ndugu WaTanzania wote,
Tuna wataarifu kwamba siku ya Jumamosi tarehe 2 March 2011 tutakuwepo TASTE OF ZANZIBAR kuandikisha watu wanao taka kujiunga na mfuko.
Adress ni 3322 Morse Road
Columbus, OH 43231-6136
Saa: From 4:00 PM - 8:00 PM
Tuna fahamu kwamba wajumbe wengi mmekuwa mkitafuta namna ya kujiunga kwahiyo siku hii inatupa fursa ya kuweza kujiandikisha.
Ada ya mwaka ni $40 na ada ya uandikishwaji ni $10, ada hizi zinatakiwa zilipwe kwa wakati mmoja.
Pia kwa wale ambao hamta weza kufika mnaweza kuwasiliana na wafuatao.
Dorothy Njau 614-589-5685
Nasra Mrumah 614-598-5486
William Mwandambo 614-537-1448
Maoni yanakaribishwa.
Asanteni
Uongozi wa Mfuko.

Wednesday, March 30, 2011
Saturday, March 26, 2011
Waraka kutoka kwa katibu wa Umoja William Mwandambo
Ndugu WaTanzania wote,
Mfuko wa jumuiya ya WaTanzania umezinduliwa rasmi siku ya Jumamosi tarehe 19 March 2011 ukiwa na wanamfuko 47 kwa sasa. Siku hiyo wanamfuko walichagua viongozi nane (8) kwa mujibu wa kanuni za mfuko.
Viongozi ni kama ifyatavyo.
Mwenyeketi Michael Mngodo
Katibu William Mwandambo
Mweka Hazina Vera Teri
Kamati ya Harambee ni Nasra Mrumah, Said Senkondo, Grace Manga, Dorothy Njau, Faiz Mwilima.
Lengo la mfuko huu ni kuweza kutusaidia na kujumuika pamoja pale panapo tokea matatizo ya msiba, Magonjwa sugu na n.k.
Bado tunakaribisha wanamfuko wapya wenye nia ya kujiunga na mfuko na kushirikiana. Ada ya mwaka ni $40 na ada ya uandikishwaji ni $10, ada hizi zinatakiwa zilipwe kwa wakati mmoja. Kwa mujibu wa kutaka kuwa mwanamfuko angalia attachment ambayo ime ambatanishwa na email hii. Attachment hizi zina kanuni za mfuko.
Ukitaka kujiandikisha kuwa mwanamfuko wasiliana na wafuatao.
Dorothy Njau 614-589-5685
Nasra Mrumah 614-598 - 5486

Tuesday, March 22, 2011
Houston Rockets send Hasheem Thabeet to developmental league
HOUSTON — The Houston Rockets have assigned centre Hasheem Thabeet to their developmental league affiliate in Rio Grande Valley.
The seven-foot-three Thabeet has played in only two games since the Rockets acquired him from Memphis in the deadline deal that sent Shane Battier to the Grizzlies. Thabeet averaged 1.2 points and 1.7 rebounds in 45 games with Memphis this season.
Thabeet is the third Rockets player to be assigned to the Vipers this season. He averaged 13.8 points, 11.2 boards and 3.17 blocks in six games with the D-League Dakota Wizards in 2009-10.
The former Connecticut star was the second overall pick in the 2009 draft. In 2009-10, he ranked second among rookies in blocks per game (1.31).
source;http://www.google.com/hostednews/canadianpress/article/ALeqM5gRoyOq9STNk5_eX5-kH1lFOS6Pzw?docId=6320321
Friday, March 18, 2011
KARIBUNI WOTE KWENYE MKUTANO JMOSI MARCH 19,2011
Ndugu WaTanzania wote,
Tunawataarifu kwamba kutakuwa na mkutano siku ya Jumamosi tarehe 19 March 2011. Wiki iliyopita tulifanikiwa kupitia kanuni za mfuko na kufanya mabadiliko kutokana na mawazo ya wajumbe. Wiki ijayo ni zoezi la kuchagua viongozi wa mfuko. Tungependa kuhamasisha watu wote wajitokeze kugombea nafasi za uongozi na pia kama kuna mtu unapendelea awe kiongozi tunaomba uongee naye akiafiki basi ni lazima awepo siku ya uchaguzi hii inaendana na kanuni za mfuko.Vilevile kwa wale watakao jipendekeza kugombea nafasi za uongozi watapaswa kuwepo ndani ya ukumbi wa uchaguzi ili kujinadi kwa wanamfuko na kupigiwa kura kulingana na kanuni za mfuko. Mwanamfuko ataweza kupiga kura kuchagua viongozi baada ya kulipa ada ya mwaka na ada ya uandikishwaji (registration fee) Kulingana na kanuni za mfuko. Kwakulipa ada hizo kunafanya mwanamfuko kuwa hai na kumpa mwanamfuko haki ya kupiga kura kufuatana na kanuni za mfuko. Ada ya mwaka ni $40, na ada ya uandikishwaji ya $10 ambayo italipwa mara moja (one time registration fee); Ada hizi zinabidi zilipwe zote kwa wakati mmoja, kabla ya zoezi la uchaguzi kuanza siku ya uchaguzi. Tafadhari unaombwa kujiandaa kwa malipo ya ada hizi siku hiyo ili kuzingatia kanuni za mfuko katika kupiga kura.
MKUTANO UTAANZA,
Saa: Kumi na Nusu. (4:30 PM)
Mahali: AMERICAN LEGION COLUMBUS
5475 SANDALWOOD BLVD, COLUMBUS , OH 43229
Agenda za mkutano wa March 19, 2011 ni kama ifuatavyo.
1.Kujiandkisha kuwa mwanamfuko
2.Wagombea kujinadi kwa wana jumuiya
3.Uchaguzi mkuu
Tafadhali sambaza ujumbe huu kwa WaTanzania wote.
Asanteni Mungu awabariki.
WILLIAM MWANDAMBO

Saturday, March 12, 2011
Saturday, March 5, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)