Ndugu WaTanzania wote,
Kazi mliotutuma tumeikamilisha, mawazo yenu mlio tukabidhi siku ya Jumamosi, Tarehe 18, December 2010 tumeyafanyia kazi kwa kina. Tupo tayari kurudisha report kwenu. Kwa mantiki hiyo tunawataarifu kwamba kutakuwa na mkutano siku ya Jumamosi tarehe 12 March 2011 na week inayo fuata siku ya Jumamosi tarehe 19 March 2011.
Saa: Kumi na Nusu. (4:30 PM)
Mahali: AMERICAN LEGION COLUMBUS
5475 SANDALWOOD BLVD, COLUMBUS , OH 43229
Agenda za mkutano wa March 12, 2011 ni kama ifuatavyo.
1. Kupitia kanuni za mfuko
2. kupendekeza na kujipendekeza majina ya viongozi
Baada ya kupitia kanuni tunaomba tujiandae kwa uchaguzi.
Agenda za mkutano wa March 19, 2011 ni kama ifuatavyo.
1.Kujiandkisha kuwa mwanamfuko
2.Wagombea kujinadi kwa wana jumuia
3.Uchaguzi mkuu
Tungependa kuhamasisha watu wote wajitokeze kugombea nafasi za uongozi na pia kufanikisha mikutano yote miwili.
Tafadhali sambaza ujumbe huu kwa WaTanzania wote.
Asanteni Mungu awabariki.
Wenu,
WILLIAM MWANDAMBO.
Monday, February 28, 2011
Monday, February 21, 2011
Rapa Eve na Mchumba wake Teodorin Nguema Obiang mtoto wa rais dikteta wa Equatorial guinea
Mcheza sinema na rapa mashuhuri nchini marekani EVE amekuwa akijivinjari na mpenzi wake Teodorin mwenye umri wa miaka 37 ambaye ni mtoto wa rais wa nchi ya equatorial guinea.Baba yake anasifika kwa mauaji ya wapinzani wake na dikteta mkubwa.
Ili kumfurahisha mpenzi wake Teodorin alikodisha boti ya Billionea wa microsoft kwa dola za kimarekani laki saba $700,000.Eve alifurahi sana.
Teodorin pia ni waziri wa misitu,mazingira na nyumba nchini kwao na wizara anazoziongoza zinanuka rushwa.Familia yao imejilimbikizia utajiri mwingi kutokana na biashara ya mafuta mpaka kufikia mabilioni ya pesa lakini wananchi wao wa kawaida wanahangaika kutengeneza walau $1 kwa siku.
Jamaa inasemekana anamiliki magari na majumba ya kifahari Africa kusini,london,los angeles pamoja na switzerland.Now that's a baller!
source:NY TIMES
Gov. John Kasich calls police officer 'idiot' for giving him traffic ticket
In a speech last month Ohio Gov. John Kasich emphatically referred to a police officer who ticketed him for a driving violation as "an idiot."
Kasich, now the Republican governor, was ticketed on Jan. 11, 2008, for "approaching a public safety vehicle with lights displayed" on Route 315 in Columbus and later paid an $85 fine. But he was not happy about it.
During a Jan. 21 speech to Ohio EPA workers, the governor recalled the day three years ago when he was given the ticket. In telling the story, Kasich, who took office on Jan. 10, three times referred to the Columbus police officer who ticketed him as an idiot .
"I said, officer I, are you kidding, I didn't, I didn't see any, I didn't even see any, where the heck was it?" a stammering Kasich recalls. "The last thing I would ever do would be to pass an emergency, are you kidding me?"
View full sizeAP file
"He says, 'Well I understand that. Give me your license,'" Kasich continues. "He goes back to the car, comes back, gives me a ticket and says you must report to court, if you don't report to court we're putting a warrant out for your arrest."
Then Kasich stills himself and bellows, "He's an idiot! We just can't act that way. What people resent are people who are in the government who don't treat the client with respect."
A leading police group responded to the governor's comments on Wednesday, hours after the video surfaced.
"Police officers in Ohio already do difficult and dangerous work, so it doesn't help when the governor calls an officer doing his job and protecting the public an 'idiot,' " said Ohio Fraternal Order of Police president Jay McDonald.
Kasich's comments are on a YouTube video that the Ohio Democratic Party referred to in a press release. Democrats and the FOP on Wednesday noted that Kasich is backing Senate Bill 5, a proposal that would end collective bargaining in Ohio, which would directly impact police officers and other government organized labor workers.
"I never thought I'd see the day when a governor of this great state would call a police officer an 'idiot' for simply doing his job," said Ohio Democratic Party chairman Chris Redfern. "Even worse, he wants to eliminate the right of law enforcement workers to collectively bargain to provide a better life for their families."
Redfern said Kasich's behavior is unbecoming of a governor and that "he should immediately apologize to all law enforcement officers for disparaging the work they do on behalf of the people of Ohio."
But Kasich isn't apologizing.
"The governor, of course, respects the important work of law enforcement officers and regrets his poor choice of words in describing his frustration in receiving a ticket," Kasich's spokesman Rob Nichols said. "The point of the governor's remarks to Ohio EPA employees was to stress that all public employees must provide better, more responsive service to taxpayers."
source:http://www.cleveland.com/open/index.ssf/2011/02/ohio_gov_john_kasich_calls_pol.html
source:http://www.cleveland.com/open/index.ssf/2011/02/ohio_gov_john_kasich_calls_pol.html
Sunday, February 20, 2011
Saturday, February 19, 2011
Friday, February 18, 2011
Tuesday, February 8, 2011
Saturday, February 5, 2011
Jinsi ya kufile Tax bure
Kufaili tax ni kitu muhimu sana hapa Marekani na unaweza kujikuta kwenye matatizo makubwa usipofaili Taxes.Kwa kifupi kufile tax ni wewe kutoa taarifa serikalini kiasi chote ulichotengeneza kwa mwaka mzima uliopita na kiasi ulichokatwa kodi na kama hukutengeneza kiasi kizuri,maana yake kama bado upo chini ya mstari wa watu maskini basi serikali inakurudishia pesa yako kidogo.
Process ya kufaili tax ni nzito na inagharimu sana sometimes mpaka $100.Hivi ndio jinsi ya kuepuka gharama.Kama wewe pato lako limetokana na kazi na sio biashara na huna vitu vingi vingi basi unaweza kufaili bure mwenyewe unahitaji vitu vifuatavyo na muda wako kidogo lakini ni rahisi sana.
1.W-2 forms and 1099-forms.
2.Kama una watoto unahitaji tarehe zao za kuzaliwa na SSN zao.
3.Nenda hapa http://www.irs.gov/efile/article/0,,id=118986,00.html ,Halafu click "browse a list of freefile companies" halafu chagua kampuni yoyote unayotumia.Mimi napendelea H&R Block pamoja na TURBO Tax.
4.Then click hiyo kampuni utakutana na button inakwambia "leave IRS website" itakupeleka kwenye website ya kampuni kwa mfano H&R Block itakupeleka mahali panasema "start your free file now".
5.Sign up, enter your information correctly.Kila box kwenye W-2 lina namba kwahiyo ingizo hiyo info ziendane na box number kwenye website ya H&R Block.
5.Mwishoni unaingiza bank account na routing number ili wakutumie pesa zako kama utarudishiwa chochote.
6.Its really that simple,Voila! you are now a tax file expert.
7.Remember siku ya mwisho ya kufile ni april 14.Utaratibu huo hapo juu ni kwaajili ya Federal tax return tu,nitawaelekeza baadae jinsi ya kufanya state na local income Tax.Inachukua muda wa wiki mbili hadi tatu kwa pesa kuingia benki.
8.Vitu muhimu vya kutosahau ili uweze kupata fedha nyingi, Earned income credit,Tuition credit,Child credit,Child care and child dependent credit.
FURAHIA MAVUNO YAKO.MUNGU AWABARIKI NYOTE.

Wednesday, February 2, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)